Tunayo stori inayohusu mpango wa kupunguza vifo vya Mama na Mtoto, huku ikielezwa kuwa Wanaume 400 wamefungwa kizazi Mkoani Kigoma.
Akizungumzia hilo, Mratibu wa mpango huo Dr.Godson Maro amesema mpango huo unatekelezwa katika Mikoa mitatu Pwani, DSM na Kigoma.
Dr.Maro amesema waliamua kujikita katika Mkoa huo kutokana na changamoto nyingi kuhusu Afya ya Mama na Mtoto.
“Kigoma ni mkoa wa mfano hususani kushirikisha wanaume katika kufunga vizazi ambapo Wanaume 400 wameshafungwa kizazi,” Dr. Maro
DEREVA WA FUSO LILILOUA WATAALAMU WA TARURA AMEKAMATWA, KAFUNGIWA LESENI