Habari za usiku huu kutoka Kagera zinasema mpaka sasa Mtu mmoja bado yuko Hospitali akiendelea kupata matibabu baada ya gari alilokua akifanyia kazi kuserereka na kugonga mengine na kusababisha kuwaka moto.
Kamanda wa Polisi na Mkuu wa Mkoa wa Kagera wamesema chanzo ni gari moja lililoserereka na kugonga mengine, magari manne yaliokolewa kwenye tukio hilo, Dereva wa gari lililoserereka amefariki huku Kondakta ndio kalazwa Hospitali, bonyeza play hapa chini kupata mwanzo mwisho
VIDEO: MBUNGE EASTER MATIKO AONYESHA NYUMBA YAKE YA DAR, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA MWANZO MWISHO