Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla weekend hii alikuwa mgeni rasmi katika hitimisho la mafunzo ya viongozi mbalimbali wasimamizi wa mapori ya akiba, mapori tengefu, wahifadhi na maofisa wanyamapori, yaliyofanyika katika kituo cha Mlele, Mkoani Katavi
“Tupunguze madhara yanayotokana na operesheni zetu, sisi ni lazima tuendelee kuyalinda haya maeneo na tutayalinda kwa nguvu zetu zote, jukumu la uhifadhi linatakiwa kuwa shirikishi kwa kuwaelewesha wananchi na viongozi wetu,” – Kigwangala
“SIO WOTE WANAOJIFUNZA KARATE NI WAKOROFI” – MAVUNDE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA