Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru na kusoma mashtaka ya kesi anayodaiwa kuifanya mwaka 2014 katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Nassari anakabiliwa na tuhuma za shambulio analodaiwa kulifanya kwa aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Makiba, Neeman Ngudu December 14, 2014
Mtuhumiwa ameachiwa kwa dhamana na kutakiwa kuwa na mdhamini mmoja atakayesaini bondi ya shilingi milioni tano huku kesi hiyo ikiahirishwa hadi March 6, 2018.
Mbunge Malecela kuhusu wanaosema Serikali ya Magufuli haijafanya lolote
MAKJUICE: KAANZA NA MTAJI WA ELFU 7 MPAKA DALADALA YA KUUZA JUICE MTAANI