Mbunge wa Handeni vijijini Mboni Mhita ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma leo Mei 2, 2019 kuchangia mapendekezo katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2019/20
“Serikali ifuatilie ubadhirifu mkubwa uliofanyika katika mabwawa ya manga, kata na Kwandugwa pamepotea zaidi ya Shilingi billion moja, Serikali ichukue hatua kali na fedha zile zitapikwe”- Mboni Mhita