Viongozi wa Dini, Serikali wametoa salamu za rambirambi kwenye msiba aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Ukerewe Masoud Mohamed aliyefariki Ijumaa May 08,2020 huku ndugu wakitoa ufafanuzi na mapokeo ya taarifa cha kifo chake.