Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kigoma Ujiji limepokea taarifa ya ukaguzi maalum kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2014/2015, 2015/2016 na 2016/2017 kupatikana kwa hati chafu ambapo baraza hilo limechukua hatua kwa watumishi 25 waliohusika.