Kijana anayefahamika kwa jina la Hamza Rashid mpiga debe katika stand kuu ya mabasi mkoani Arusha amelalamika mbele ya mkuu wa wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi baada yakufungiwa kwenye gari ndogo nakupigwa kwenye mkono na kichwani kwa madai yakumtukana askari huyo
Mkuu wa wilaya kenan Kihongosi baada yakusikiliza malalmiko hayo alimuagiza mkuu wa polisi wilaya kulifanyia kaz ikiwemo kuhakikisha kijana huyo anatibiwa ambapo polisi walikiri suala hilo kufika ofisini kwake