Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa mkoani Dodoma ametoa maagizo kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli kwamba kwa mwaka huu 2018 hakutakuwa na sherehe ya kitaifa ya maadhimisho ya siku ya mashujaa July 25 na badala yake siku hiyo itatumika kufanya usafi kote nchini na pesa zote zilizotengwa kufanyia sherehe zitatumika kwenye ujenzi wa baadhi ya barabara ndani ya jiji la Dodoma.
Kamanda Msangi alivyogawa Maandazi na kucheza ngoma akitoa elimu