Hali ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI bado ni tishio, takwimu zinaonesha kuwa watu takribani 72,000 hupata maambukizi mapya hapa Tanzania kwa mwaka hii ni sawa na wastani wa watu 6000 kwa mwezi ukienda zaidi watu 200 kwa siku au watu 8 kwa kila saa.
“Hali ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI bado ni tishio, takwimu zinaonesha kuwa watu takribani 72,000 hupata maambukizi mapya hapa nchini kwa mwaka hii ni sawa na wastani wa watu 6000 kwa mwezi ukienda zaidi watu 200 kwa siku au watu 8 kwa kila saa”
“Aidha takwimu zinaonesha kuwa kundi la vijana kati ya umri wa miaka 15 -24 linachangia maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI kwa 40%”- Dorothy Mwaluko, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, na Uwekezaji