Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza baada ya kutoonekana kwa takribani siku 20 hadi kupelekea uvumi wa kwamba anaugua na huenda amefariki, Shirika la Habari la Korea Kaskazini(KCNA) limesema Kim amekata utepe kwenye uzinduzi wa kiwanda cha mbolea eneo la sunchon.
Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA) limesema Kim Jong Un amekata utepe kwenye uzinduzi wa kiwanda cha mbolea eneo la sunchon kama ishara ya kuunga mkono uchumi wa viwanda >“KIM ameonekana tena hadharani yuko imara, Watu wameruka kwa furaha, haoneshi kuwa alikuwa mgonjwa”
LIVE MAGAZETI: Wabunge CHADEMA wakimbia corona bungeni, Mshtuko kifo cha Balozi Mahiga