Mkuu wa Wilaya Ya Momba KENANI Kihongosi asikitishwa na Ucheleweshaji miradi na utekelezaji usiokidhi vigezo vya halmashauri Ya Mji wa Tunduma.
DC Kenani amezungumza hayo alipokuwa katika ziara yake Ya ukaguzi wa miradi mbali mbali ndani ya Halmashauri hiyo na kuagiza TAKUKURU kuchunguza miradi yote aliyoitolea maelekezo ukiwemo mradi wa shule ya Tunduma unaogharimu zaidi ya Milioni 800.