Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto ametoa maagizo kwa wamiliki wote wa silaha katika mkoa wake kufika mara moja katika ofisi za Polisi kwa ajili ya kuhakiki silaha hizo na wale watakaoshindwa kufanya hivyo watachukuliwa hatua za kisheria.
MBUNGE SUGU KUHUSU SERA ZA CHADEMA, Kawataja Diamond, Alikiba na Samatta