Baada ya ugonjwa wa Kipindupindu kuchukua Headlines katika maeneo mbalimbali nchini, halmashauri ya Temeke imekuja na mbinu mpya ya kukabiliana na ugonjwa huo ambapo imeanzisha oparesheni maalumu ya kukagua nyumba kwa nyumba kwa watu wasiozingatia uchafu na kuwachukulia hatua za kisheria.
Ripoti niliyoipata kutoka kituo cha habari Channel 10 inasema kuwa, hadi sasa ni zaidi ya watu 12 wamekamatwa na kufikishwa katika ofisi ya manispaa ya Mbagala.
Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza ripoti kutoka wilaya ya Temeke
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE