Moja ya tafiti niliyokutana nayo hivi karibuni hata iakaandikwa kwenye magazeti ni hii iliyosema kwamba ‘vitambi husababisha ugumba na upungufu wa nguvu za kiume, tatizo la kusahau na shinikizo la damu’
Sasa nikaona isiwe ishu sana ngoja nimtafute Dr. Kisaka Stephen ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu katika shirika la umoja wa mataifa Sudan ambaye amekubali kukaa kwenye millardayo.com na kutupatia ufafanuzi kwenye hii sauti hapa chini…
VIDEO: Serikali yataja makosa matatu ya Watanzania waliofukuzwa Msumbiji
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo