Moja ya stori kubwa Magazetini August 19 2015 ni ishu ya Mahakama ya Kisutu kuendesha kesi ya Watu wanaotuhumiwa kuchoma Kituo cha Polisi cha Bunju ‘A’.
“Mahakama kwenda kuhsuhudia kituo cha polisi kilichochomwa”—Hii ni headline ya Gazeti ya Jambo Leo Agosti 19 2015 (Ukurasa wa 17)
Timu ya millardayo.com imefika Kituo cha Polisi Bunju ‘A’ ambapo Mahakama ya Kisutu leo ilibidi ifike hapo kwa ajili ya kujiridhisha na Ushahidi uliotolewa Mahakamani kuhusu tukio la kuchomwa moto Kituo hicho.
Uamuzi wa Mahakama kuhamishiwa katika eneo hilo ulitokana na Mahakama kuhitaji kuangalia mazingira ya Tukio pamoja na vielelezo husika vya tukio.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos