June 13 2016 aliyekuwa waziri wa Kilimo na mifugo Mwigulu Lameck Nchemba aliapishwa rasmi Ikulu Dar es Salaam kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu ameapishwa kurithi nafasi iliyokuwa imeachwa wazi na Charles Kitwanga ambaye Rais Magufuli alifuta uteuzi wake May 2016 kwa kosa la kuingia na kujibu maswali ya wizara hiyo ikiaminika kuwa kalewa.
VIDEO INAYOMUONESHA CHARLES KITWANGA AKIAMINIKA ALIKUWA KALEWA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE