Miongoni mwa habari kutokea yalipo makao makuu ya nchi ya Tanzania Dodoma ni pamoja na hii ya aliyekuwa Diwani wa kata ya Hazina kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Samweli Mziba kutangaza kujiuzulu nafasi yake na chama chake ili kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akitaja lengo kuu ni kutaka kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli.
Biashara anayoifanya Mzee wa zaidi ya miaka 80