Siku kadhaa zilizopita iliripotiwa taarifa ambayo ikiwahusisha maafisa kadhaa wa polisi wa kiume nchini Uganda kuvalia ambao picha zilionyesha wamevalia viatu vya kike na wengine kubeba mikoba ya kike na kushiriki katika matembezi kwa lengo la kuhamasisha jamii dhidi ya udhalilishaji na dhuluma dhidi ya wanawake.
millardayo.com na AyoTV ilimpata Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kuzungumzia namna anavyoliona suala hilo, Waziri Mwalimu amepongeza juhudi za wanaume hao kupinga unyanyasaji wa wanawake ambapo amesema kama watatokea hapa Tanzania atakuwa tayari kuwaunga mkono. Bonyeza play hapa chini kumsikiliza
AUDIO: Tamko la Polisi DSM kuhusu wanaoosha magari barabarani wakati wa foleni, Bonyeza play hapa chini kusikiliza