Miezi kadhaa iliyopita aliyekuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi ‘UVCCM’ Arusha, Lengai Ole Sabaya alishtakiwa kwa kosa la kujifanya ofisa usalama wa Taifa na kughushi kitambulisho cha usalama wa taifa.
Kesi hiyo imetolewa maaamuzi na mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo December 14 2016 ambapo imemuachia huru Lengai Ole Sabaya baada ya upande wa Jamhuri kusema hawana nia ya kuendelea na kesi hiyo.
M/kiti UVCCM Arusha aachiwa huru baada ya Jamhuri kusema hawana nia kuendelea na kesi, alidaiwa kughushi kitambulisho cha usalama wa Taifa pic.twitter.com/Jjlkf9zek0
— millardayo (@millardayo) December 14, 2016
AyoTVMAGAZETI: Ajira zamwagwa, Magufuli sasa aifumua CCM, Bonyeza play hapa chini