Nafahamu wapo wale wanaotamani kutembelea jiji la Tanga, lakini bado hawajapata nafasi hiyo, na huenda una hamu pia ya kujua maeneo ya katikati ya jiji la Tanga yana muonekano gani, leo nakusogezea picha 11 za jinsi majengo na barabara za Tanga zinavyoonekana wakati wa mchana.
VIDEO: Umepitwa na Magazeti ya leo January 5, 2016? Alice Tupa amekuchambulia zote kubwa za siku , tazama vdieo hapa chini.