Habari ambayo imeendelea kuchukua headlines kwenye vyombo vya habari hapa nchini, ni ishu ya Korosho, sasa November 19 2018 Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Juma Homela amezungumza na wandishi wa habari na kutoa taarifa ya operesheni korosho inayoendelea kwenye wilaya hiyo ambapo amesema zaidi ya watu 20 wanaojihusisha kulangua korosho kutoka kwa wakulima maarufu kama kangomba wamekamatwa.
Aidha DC Homela amebainisha mbinu wanazotumia walanguzi hao ni pamoja na kubadilishana nyama ya ng’ombe na korosho. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama video……
Hivi ndivyo wakulima wa korosho wanavyonyonywa, Bonyeza play hapa chini
BILIONI 50 ZITAKAVYOBADILISHA KIWANJA CHA NDEGE MTWARA