Baada ya taarifa kuenea kwamba serikali ina mpango wa kuwasilisha muswada Bungeni utakaowabana watumishi wa umma kwa kupunguza matumizi mbalimbali ya mashirika ya umma ikiwemo kuondoa posho za watumishi wa Umma.
Leo November 8 2016 Serikali imetoa tamko lake kupitia akaunti yake rasmi ya twitter ya msemaji wa Serikali kuwa taarifa hizo si za kweli hivy zipuuzwa.
#Ufafanuzi: Taarifa kwamba Serikali imepanga kuwasilisha Bungeni muswada wa kuondoa posho za watumishi wa umma si za kweli.Zipuuzwe.
— Msemaji Mkuu wa Serikali (@TZMsemajiMkuu) November 8, 2016
KAMA HUJAPATA NAFASI YA KUPITIA KUBWA ZA LEO KWENYE MAGAZETI YA TANZANIA, UNAGANA NA ALICE TUPA WA AYO TV KWENYE VIDEO HII HAPA CHINI