Leo April 3, 2018 Viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanatarajiwa kuachiliwa baada ya kutajiwa masharti ya dhamana, siku ya Alhamisi.
Viongozi hao wa chama cha CHADEMA, akiwemo mwenyekiti Freeman Mbowe, walishtakiwa kwa uchochezi, kuleta vurugu na kuandamana.
Nimekuwekea Picha Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiingia katika viwanja vya Mahakama.