Kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando Mwanza kwa mara ya kwanza wamepata kifaa cha kupima mionzi CT-SCAN, ambacho kimegharimu Bilioni 1.7.
Akizindua kifaa hicho Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu January 26, 2018 ameahidi kuwapatia kifaa cha MRI kabla ya mwaka 2018 kuisha.
Namnukuu Waziri Ummy “Leo nataka kuahidi kwamba serikali itawapatia Mashine ya MRI ili muweze kuimarisha huduma za kiuchunguzi, mtaipata kabla ya hata ya mwisho wa mwaka 2018, “
Alichokipanga Waziri Kigwangalla baada ya kukuta Nyumba ya Nyerere katika hali mbaya