Leo February 10, 2018 nakusogezea stori kumhusu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha Saitot Zeloth amesema atawashtaki Wabunge wote wa Mkoa wa Arusha kwa wananchi ambao hawajatekeleza majukumu yao ipasavyo.
Akizungumza na AyoTV baada ya kuapishwa kwa Katibu hamasa wa Mkoa wa Arusha aliyeteuliwa Omary Lumato amesema hawatakubali kutumika na viongozi wa ngazi za juu ambao wanawasumbua.
ALICHOZUNGUMZA KIBATALA BAADA YA KUACHIWA, AMETAJA KILICHOKUWA KINAKWAMISHA DHAMANA