Kuliibuka ufa mkubwa katika eneo la Suswa katika Bonde la Ufa kusini magharibi mwa Kenya ambapo ulizuka wasiwasi kuhusu uthabiti wa eneo la Afrika Mashariki kijiolojia. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam amefafanua kwa undani kupitia Ayo TV na millardayo.com fuatilia kufahamu undani wake.