Shirika la Reli Tanzania limenunua rasmi vichwa vya treni 11 vikiwa na thamani ya USD Milioni 2,400,000 kutoka kampuni ya Progress Rail Locomotive (PRL).
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa manunuzi hayo, Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa amesema ununuzi wa vichwa hivyo utaongeza ufanisi.