November 12 2016 yamefanyika mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel John Sitta aliyefariki dunia November 7 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani.
Mazishi hayo yamefanyika Urambo Tabora kwenye eneo la makaburi ya ukoo wa Sitta ambayo yapo takribani km 2 kutoka nyumbani kwake.
#MillardAyoUPDATES Jeneza lililobeba mwili wa Spika mstaafu Samuel Sitta likiwekwa kaburini pic.twitter.com/DXbImhS4DU
— millardayo (@millardayo) November 12, 2016
#MillardAyoUPDATES Mazishi ya Spika mstaafu Samuel Sitta ambaye anazikwa katika makaburi ya familia ya ukoo wa Sitta, Urambo Tabora pic.twitter.com/4oUw2qrzaI
— millardayo (@millardayo) November 12, 2016
#MillardAyoUPDATES Safari ya kuelekea eneo la makaburi ambapo mwili wa Spika Mstaafu Samuel Sitta utazikwa pic.twitter.com/6rpNEeBcJj
— millardayo (@millardayo) November 12, 2016
#MillardAyoUPDATES Waziri Nape Nnauye akiongea machache wakati wa kuuaga mwili wa Samuel Sitta Urambo Tabora pic.twitter.com/UL0gsHHNO4
— millardayo (@millardayo) November 12, 2016
#MillardAyoUPDATES Ibada ya kumuombea Mzee Sitta imeanza muda huu viwanja vya shule ya msingi Urambo, mazishi yatafanyika majira ya saa nane pic.twitter.com/4dK23gWRBl
— millardayo (@millardayo) November 12, 2016
VIDEO: Maneno ya mwisho ya Samuel Sitta kwa mdogo wake