Waziri wa mambo ya Ndani Kangi Lugola leo aliamuru kuwekwa Mahabusu kwa Askari Polisi aliyekuwa katika kituo cha polisi cha utalii na Diplomasia baada ya kushindwa kutambua wajibu wake wa kazi baada ya kumuuliza vitabu vinavyotakiwa kuwepo katika chumba hicho ambapo Askari huyo alishindwa kujibu, AyoTV na millardayo.com zimempata Kamanda wa Polisi Arusha akiongea hapa chini
.
.