Ni heasline kutokea makao makuu ya nchi Dodoma ambapo Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde alimueleza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu namna ambavyo Kamanda wa Polisi wa mkoa huo Gilles Muroto ambaye amekuwa maarufu kwa usemi wake wa “Watapata tabu sana” alivyowezesha kupunguza matukio ya uhalifu kwa kiwango kikubwa.
“Kamanda Muroto anafanya kazi kubwa sana, Mheshimiwa Waziri mkuu tulivyoenda kwenye mikutano wa hadhara nilipompa nafasi ya kuongea nikaona anapata umaarufu kuliko hata Mbunge nikaanza kupata tabu kidogo ” –Anthony Mavunde
RPC Dodoma atolea ufafanuzi “KIPIGO CHA MBWA KOKO”