Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameingia kwenye headline za Bunge leo April 8, 2019 wakati akijibu swali la Mbunge wa Kibamba John Mnyika ambaye mtaka Naibu waziri kupeleka Bungeni ripoti ya upatikanaji wa maji katika jimbo la Kibamba ambapo Aweso akalazimika kumtaka Mbunge huyo kurudi jimboni kukusanya taarifa hizo kabla ya kutaka Serikali ifanye hivyo.
DJ FETTY KAUTAJA WIMBO ANAOUKUBALI KATI YA NYIMBO 3 MPYA ZA DARASSA ALIZOZIACHIA