Mahakama kuu Kanda ya Bukoba imewahukumu kunyongwa hadi kufa Pankras Minago na Lameck Bazil baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua kwa kumchoma na vitu vyenye ncha kali na kunyofoa baadhi ya viungo vyake mlemavu wa ngozi, Magdalena Andrew aliyeuawa September 21 2008.
Hukumu hiyo iliyotolewa na jaji Firmin Matogolo ni ya kwanza katika mahakama kuu kanda ya Bukoba dhidi ya washtakiwa wa makosa ya mauaji ya watu wenye ualbino. Unaweza kuangalia video hii hapa chini kwa hisani ya Azam TV.
ULIKOSA MATUKIO SITTA YA UDANGANYIFU YALIYOTOKEA KATIKA MTIHANI WA DARASA YA SABA 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI