Chama cha madaktari bingwa wa macho Tanzania ikiongozwa na Rais wake Dkt. Joseph Masanja kimetoa taarifa kuhusu takwimu ya ugonjwa wa macho nchini ikiwemo mikoa inayoongoza pamoja na sababu zinazochangia watu wengi kupatwa na ugonjwa huo.
“Takribani asilimia 75 ya magonjw aya macho yanayosababisha upofu yanaweza kuzuilika endapo yatapatiwa matibabu mapema, Magonjwa makuu ni mtoto wa jicho. Mikoa inayoongoza kwa tatizo la macho nchini Tanzania ni pamoja na Dodoma, Shinyanga ikifuatiwa na mkoa wa Singida. ”-Dkt. Joseph Masanja
EXCLUSIVE: Msanii wa kwanza kuigiza sauti ya Rais Mkapa anabeba Taka Taka