Korea Kaskazini imefanya jaribio jingine la kombora leo Jumamosi ambalo linakuwa jaribio la tisa ndani ya mwaka huu pekee kufanywa na Nchi hiyo baada ya jaribio la Wiki iliyopita.
Korea Kusini imethibitisha kufanywa kwa jaribio hilo la kombora hilo lililofanywa na Nchi jirani “Korea Kaskazini wamerusha kombora kuelekea Mashariki na linahisiwa limeelekezwa Baharini”.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa kamili hapa unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
BIBI WA MIAKA 70 ASHIKA BUNDUKI KUPIGANA NA PUTIN “NAIPENDA NCHI YANGU, PUTIN HAWEZI KUTUTISHA’