Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimekuwekea hapa kubwa za leo kutoka kwenye magazeti ya Tanzania, waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Baada ya aliyekuwa mkurugenzi NIMR, Dk. Mwele Malecela kutenguliwa, mwanasayansi huyo amesema atazungumza wakati muafaka ukifika pic.twitter.com/fOEBAf2OFj
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#MWANANCHI BoT kwa miezi miwili sasa imeendelea kusuasua ktk huduma ya ubadilishaji wa noti chakavu na sarafu, hali inayosababisha usumbufu pic.twitter.com/os4FpQHV00
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#MWANANCHI Waziri mkuu Majaliwa ameunda timu mpya ya kuchunguza mazingira ya kifo cha Faru huku akihoji lilipo kaburi lake pic.twitter.com/GERyh8BDN6
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#MWANANCHI Mzee wa upako asema changamoto alizokutana nazo zimekuwa chanzo cha kupata zawadi ya magari mawili mapya likiwamo la mil 200 pic.twitter.com/xX51gD6EHc
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#MWANANCHI Mbunge Sugu amewaomba radhi wakazi wa Mbeya, wanafamilia na ndugu wa marehemu wa mtoto aliyefariki kwa kugongwa na gari lake pic.twitter.com/TA4T4J57c4
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#NIPASHE NSSF na PPF kuanza ujenzi wa kiwanda cha sukari mkulanzi Morogoro kitachozalisha tani 200,000 kwa mwaka pic.twitter.com/mJ2Okh14Np
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#TanzaniaDAIMA Wafanyabiashara jijini Mwanza, wamekusudia kufunga maduka yao kisha kuanza kufanya biashara zao kama wamachinga pic.twitter.com/ISZSQMbar4
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#TanzaniaDAIMA Imeelezwa utaratibu wa ofisi za umma kununua, kupamba miti ya krismas kwa kadi za kutakiana heri umeyeyuka kutokana na ukata pic.twitter.com/2AbRfmzyJu
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#MWANANCHI Siku chache Baada ya miili 7 kuopolewa mto Ruvu Pwani ikiwa imefungwa kwenye viroba, tukio linalofanana na hilo limetokea K'njaro pic.twitter.com/mY5v89Tno6
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#MWANANCHI Watoto wawili familia moja wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakicheza mlangoni kwao Dodoma pic.twitter.com/mmu2wFU0Tf
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#MWANANCHI Katibu mkuu umoja wa mataifa, Ban Ki-moon amedokeza kuwa huenda akawania urais nchini kwake, Korea kusini pic.twitter.com/IlFZfrrQgF
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#MWANANCHI Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe atagombea tena kiti cha urais mwaka 2018, atakuwa na miaka 94 itakapofika wakati huo pic.twitter.com/jouJE4AJls
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#HabariLEO Mwanafunzi shahada ya ualimu chuo cha AJUCO Ruvuma ajinyonga ili asiendelee kuchekwa na wanafunzi kutokana na ulemavu wa mguu pic.twitter.com/D6ye1KnBhW
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#MWANANCHI Makaburi ya Kizota Dodoma yameelezwa kujaa, hivyo kuwalazimu wananchi kuzika juu ya wale wa zamani pic.twitter.com/mGCCD9J5vQ
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#MWANANCHI Polisi K'ndoni DSM wanamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma za kuhusika ktk jaribio la kuiba ktk benki moja iliyopo msasani pic.twitter.com/pgT82nc6Fe
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#NIPASHE Mbunge Nassari amesifu jitihada kubwa zinazochukuliwa na serikali kuhakikisha wananchi hasa wa jimbo lake wanapata maendeleo pic.twitter.com/NY6BXnWvzt
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
#NIPASHE Benchi la ufundi la klabu ya Yanga limesema hakuna mchezaji mwenye namba ya kudumu ndani ya kikosi hicho na kwamba wote wapo sawa pic.twitter.com/5srGhKoCCD
— millardayo (@millardayo) December 19, 2016
AyoTVMAGAZETI: Majaliwa ashitukia kifo cha Faru John, Taasisi zashitukiwa rushwa awamu ya tano, Bonyeza play hapa chini kutazama