Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimekuwekea hapa kubwa za leo kutoka kwenye magazeti ya Tanzania, waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Mauaji yaliyotikisa 2016
1.Waliochinjwa Amboni
2.Watafiti kuchomwa moto
3.Waliouawa msikitini Mwanza
4.Mauaji ya polisi lindoni pic.twitter.com/V1DKuKi3nx
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#MWANANCHI Mwili wa mtu aliyeuawa na kuwekwa kwenye kiroba Moshi K'njaro umetambuliwa na watu wawili wanasakwa na polisi kuhusu tukio hilo pic.twitter.com/U5Q7ZV3KrX
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#MWANANCHI Mbunge Lema jana hakufikishwa mahakamani ktk kesi nyingine inayomkabili pamoja na mkewe Neema, baada ya kuelezwa kuwa anaumwa pic.twitter.com/3x7FXVlhZ5
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#MTANZANIA Imeelezwa madereva bodaboda hatarini kupooza na kupata kifafa kutokana na ongezeko la matukio ya ajali ambazo wamekuwa wakizipata pic.twitter.com/QlIV3VOyQM
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#MTANZANIA Utafiti wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria 2015/16 umeonesha wanawake mjini wana uzito mkubwa kuliko wa vijijini pic.twitter.com/hRdAtoE4S9
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#TanzaniaDAIMA TANESCO imesema ina umeme wa ziada ktk mikoa ya kanda ya ziwa na kwamba umeme si kikwazo cha kuwekeza ktk mikoa hiyo pic.twitter.com/GtvCG7Habt
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#TanzaniaDAIMA TAYOA wamesema asilimia 80 ya wanawake kila mwaka hufariki dunia kwa ugonjwa wa kansa ya mlango wa kizazi pic.twitter.com/ZYfpcbxY3R

#MWANANCHI Mwanamke mmoja Moshi amempa kichapo mumewe na kumjeruhi usoni akimtuhumu kutoacha matumizi ya nyumbani pic.twitter.com/iLrhcsvCsr
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#JamboLEO Utafiti umebaini kuwa mazoea ya ulaji wa matunda na mboga za majani unaweza kukusaidia kuleta furaha pic.twitter.com/lxJKRPwg27
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#NIPASHE TFDA imewaondoa hofu wananchi kuhusiana na tishio la kuingizwa mchele wa plastiki kama ilivyo ktk baadhi ya nchi barani Afrika pic.twitter.com/qpJImxUrAQ
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#NIPASHE Wakamata magari DSM
1.Marufuku kuyavizia
2.Marufuku ubabe na matusi
3.Wavae sare
4.kuondoa gari lililopaki vibaya baada ya dk 60 pic.twitter.com/vOGF9XbhS1
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#NIPASHE Mzee wa miaka 101 Uingereza amehukumiwa kwenda jela miaka 13, baada ya kukiri kubaka kwa nyakati tofauti pic.twitter.com/osMOLViUuS
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#NIPASHE Mazoea ya kutumia kompyuta husababisha maumivu kwenye viganja, mikono, shingo na misuli, chanzo huanzia kwenye matumizi ya keybord pic.twitter.com/WSUjcuzDxl
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#NIPASHE DC Geita amesema yupo tayari kufa ili kulinda siri za wananchi watakaotoa taarifa za watumishi wanaofanya kazi kinyume cha sheria pic.twitter.com/sXiGLFk7J3
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#GazetiAMANI Mama wa msaidizi wa Mbowe, augua ghafla ugonjwa wa presha baada ya kusikia redioni mtoto wake amepotea pic.twitter.com/0fbdyYTQ0F
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#GazetiAMANI Bwana harusi aliyeingia mitini Mbeya licha ya kuwa na utayari wa kufunga ndoa amesema shetani alimpitia pic.twitter.com/Kk8E8QeuGb
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
#MTANZANIA Kufanya mazoezi kwa muda wa takribani nusu saa, mara tatu kwa wiki yanaweza kuongeza kiwango cha kasi ya mbegu za kiume pic.twitter.com/BrgLrsboRd
— millardayo (@millardayo) December 22, 2016
AyoTVMAGAZETI: Mauaji yaliyotikisa 2016, Prof.Ndulu awapiku vigogo serikali ya Magufuli, Bonyeza playa hapa chini