Hii ndio mara ya kwanza nakutana na Mwanaume aliyeoa Wake 16 na wote anaishi nao ndani ya eneo moja, tumezoea kuona kwa Ndugu zetu Waislamu ambao wanaruhusiwa Wake wanne ila hii ya Wake 16 ni noma na nusu, tumekaa na Mzee Ernesto kwenye mahojiano ili tusikie ilikuaje mpaka akawa na idadi hii kubwa, anamudu vipi kuishi nao, msosi wa siku inakuaje? Je anakumbuka majina ya Wake zake na Watoto? tazama hii EXCLUSIVE video ujionee.
MAAJABU: DUKA LISILO NA MLANGO WOWOTE NA HAKUNA ANAYETHUBUTU KUIBA HATA KIBIRITI… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA FULL INTERVIEW