Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itasoma hukumu ya Viongozi wa CHADEMA Saa saba na nusu mchana leo Machi 10, 2020 badala ya Saa nne na nusu asubuhi.