Benard Saanane ambaye ni msaidizi wa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inasadikiwa ametoweka katika mazingira ya kutatanisha tangu November 18 2016 na juhudi za kumtafuta katika sehemu mbalimbali zimefanyika bila mafanikio.
Leo December 21 2016 Jeshi la Polisi Makao Makuu kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kamishna Robert Boaz ametoa taarifa juu ya suala hilo ambapo amesema polisi walipokea taarifa zake December 5 2016 na wanaendelea na uchunguzi.
Jeshi la polisi makao makuu wamesema bado wanaendelea kuchunguza taarifa za kupotea kwa Bernad Saanane #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/dilrE4ZZRs
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
AUDIO: Ufafanuzi wa polisi K’njaro kuhusu aliyefariki baada ya kubatizwa, Bonyeza play hapa chini kusikiliza
Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE