Bad news iliyonifikia leo May 26 kutoka Mwanza ni kuhusu mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Max amemuua mkewe kwa risasi kabla naye kujiua kwa risasi pia wakiwa nyumbani kwao usiku wa kuamkia May 26, 2017.
Ayo TV na millardayo.com imefika Mahina Kanyerere katika Kata ya Butimba ambako tukio hilo limetokea na kuzungumza na Diwani wa Kata hiyo ambaye anaeleza kila kitu kwenye hii video…
Uliipata hii ya familia kudai aliyelazwa Muhimbili siye aliyechora Nembo ya Taifa? Bonyeza PLAY kutazama!!!