Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya hapa kumi kubwa za leo na waweza kuzipata huko.
#NIPASHE Matumizi tata ya bil 100.5 yanayoihusu TAMISEMI na hazina wakati wa serikali ya awamu ya 4 yameibuka bungeni, bunge lataka maelezo pic.twitter.com/I0zXgzr0DG
— millardayo (@millardayo) November 10, 2016
#NIPASHE Serikali imeokoa mil 931 baada ya kushtukia kuwapo kwa wanafunzi hewa ktk shule za msingi na sekondari ktk mwaka wa fedha 2016/17 pic.twitter.com/BEaaD7X8iM
— millardayo (@millardayo) November 10, 2016
#NIPASHE Siri ushindi wa Trump
1.Kura za wazungu
2.Mapigo dhidi ya kashfa
3.Kujitenga na kina Bush
4. Email za Clinton
5.Ungangari wa Trump pic.twitter.com/L1Afv4AtNG
— millardayo (@millardayo) November 10, 2016
#NIPASHE Kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za Serikali 'PAC' imeunda kamati kuchunguza kashfa mbalimbali zinazoikabili NSSF pic.twitter.com/L7Hp6gykC5

#MWANANCHI Mkenya kortini akidaiwa kufanya kazi BoT miaka nane, kughushi cheti cha kuzaliwa, kujipatia kitambulisho cha taifa na cha kura pic.twitter.com/V2AqOlmm86
— millardayo (@millardayo) November 10, 2016
#MWANANCHI JKCI imesema kabla ya mauti kumfika mtoto aliyewekewa betri aliugua kifua na chanzo cha kifo chake siyo mashine aliyowekewa pic.twitter.com/sVW4jxX5Qn
— millardayo (@millardayo) November 10, 2016
#MWANANCHI Halmashauri ya Manispaa ya Singida imesema inatarajia kuyafunga maziwa ya Kindai, Singidani kwa miezi sita ili samaki waongezeke pic.twitter.com/3m2ZDCXlPv
— millardayo (@millardayo) November 10, 2016
#TanzaniaDAIMA Bil 4.3 zimepotea ktk mradi wa machinjio hewa ya kisasa DSM, meneja wa Machinjio hiyo hewa kutoka Botswana alipwa mil 781 pic.twitter.com/mXRvUs2nus
— millardayo (@millardayo) November 10, 2016
#MTANZANIA Unywaji wa mara kwa mara wa vinywaji vinavyoongeza nguvu mwilini 'energy drinks' unasababisha ini kushindwa kufanya kazi pic.twitter.com/xISZGr7jc7
— millardayo (@millardayo) November 10, 2016
VIDEO: Ungana na Alice Tupa kwenye uchambuzi wa magazeti Nov 10 2016 kwenye video hii hapa chini…