Leo June 28, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli anampokea Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ambaye amekuja nchini wa ziara ya siku 2 akiwa na lengo la kujitambulisha kwa JPM. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama LIVE MAPOKEZI HAYO