Ni Leodger Leonard Kachebohaho ambae ameibua na kushinda kwa kishindo katika nafasi ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa na Baraza Kuu UVCCM Taifa kuwakilisha Mkoa wa Kagera.
Aidha Leodger akizungumza na millardayo.com alisema “Kura Mlizotupatia Vijana ni Deni kubwa kwetu na sisi tutawalipa kwa kufanya kazi na hatutalala, ni muda wa kuijenga Jumuiya yetu na kuendeleza mahusiano yetu sisi Vijana na agenda kubwa mbele yetu ni siasa na Uchumi”
Leodger ameshinda kwa kura za 508/582.