Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amefunga mafunzo ya awali ya askari Polisi Chuo cha Polisi (CCP) Moshi huku akiwataka askari wapya wa Jeshi hilo, kujiepusha na rushwa, ukamataji usiozingatia matakwa ya sheria, ubambikizaji kesi kwa wananchi, matumizi ya nguvu kupita kiasi, na unyanyasaji wa kijinsia.
DUUH! LUGOLA ASHANGAZWA NA ASKARI HUYU MOSHI