Naibu spika Dr Tulia Ackson amefanya ziara mbalimbali mkoani Mbeya ambapo leo aliongozana na baadhi ya wadau wa elimu hadi katika shule ya sekondari Ikuti iliyopo Wilaya ya Rungwe mkoani hapo kwa ajili ya kuendesha harambee ya ujenzi wa hosteli na ukumbi wa wanafunzi shuleni hapo ambapo zaidi ya shilingi milioni thelathini zilipatikana huku ahadi nyingine zikitolewa ikiwemo ofa ya baadhi ya wanafunzi kusomeshwa bure.
WATOTO KUTEKWA: Imebidi DC aitishe kikao cha dharura