Mbunge wa Kilombero, Morogoro Peter Lijualikali amerudi jimboni kwake April 8, 2017 baada ya kuachiwa huru na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam iliyotengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero.
Wabunge Joseph Haule, John Heche, Susan Kiwanga na Devotha Minja walikuwa miongoni mwa Wabunge walijitokeza kumsindikiza Mbunge huyo jimboni kwake Kilombero ambapo walipata nafasi ya kuzungumza na wananchi wa Jimbo la Kilombero.
Bonyeza play kutazama…
VIDEO: Mbunge Lijualikali alivyopokelewa na wananchi wa Jimbo la Kilombero. Bonyeza play kutazama.