“Haki inayocheleweshwa ni kama haki inayokosekana, shauri lolote linaloenda kwa muda mrefu linasababisha maumivu makubwa sana yakiuchumi hasa kwa watu wetu wa vijijini” Spika Ndugai
“Tunajitahidi kuhakikisha kwamba ndani na nje ya Bunge muhimili wa Mahakama unaheshimiwa, jukumu la kutoa haki ni zito sana, lazima uwe na hofu ya Mungu.” Spika wa Bunge Job Ndugai