NI Novemba 2, 2022 ambapo Kongamano la Kitaifa la Nishati Safi ya Kupikia “Tanzania Clean Cooking Conference” linaendelea ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa JNICC Dar es Salaam.
Unaweza ukabonyeza play kufuatilia mjadala huo huku ukiongozwa na wadau mbalimbali akiwemo na Waziri wa Nishati January Makamba.