Live: Rais Samia akiweka jiwe la Msingi mradi wa miundombinu ya kusafisha na kutibu maji bunda
Share
0 Min Read
SHARE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi katika mradi wa miundombinu ya kusafisha na kutibu maji pamoja na kuzungumza na wananchi wa eneo hilo katika mkutano wa hadhara leo tarehe 07 Februari, 2022.